Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
HOUSE FOR SALE
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA NI MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA LENYE NAFASI
KUNA SERVANT QUARTERS YA CHUMBA KIMOJA
BEI NI MILLION 140Tsh Negotiatable
UKUBWA WA KIWANJA NI MITA ZA MRABA 720.
SITE VISIT CHARGE 20K ZINGATIA UTARATIBU
#millardayoupdates #kigamboni #nguvumoja #daressalaam #realestate #foryou #forsale