Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kimara, Dar Es Salaam
🗯️KIMARA STOP OVER
đź“Ť 300,000/= *6
_________
___
đź“Ś Umbali wa dakika 12 tu Kwa Kutembea na Barabara ya Zege had kwenye nyumba
• Vyumba 2 vya kulala (Haina Master)
• Sebule
• Jiko
• Public toilet ndani
* Inajitegemea UMEME na Maji
* Parking
* Ndani ya Fensi
* Paving Blocks
• Mazingira TULIVU Na Mazuri
#Upande wa kulia kama unaenda Mbezi
______
đź“Ś *MUHIMU SANA*
#Kupelekwa kuona nyumba Tsh 15,000
#Malipo ya Dalali ni Tsh 300,000/=
______
0753-172-516