Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kimara, Dar Es Salaam


🗯️KIMARA STOP OVER
📍 400,000/= *6
📍 Njoo ukae Karibu na Barabara
_________
___
• Vyumba 2 vya kulala vikubwa (Kimojawapo ni Master)
• Sebule
• Jiko linawekwa makabati
• Public Toilet
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Ndani ya Fensi Zipo 4 na Zipo Mbalimbali, kama hii imejitenga kivyake kabisa
* Mazingira TULIVU na Màzuri
#Umbali wa dakika 7 - 9 tu kwa miguu
______
#Kupelekwa kuona nyumba Tsh 15,000
#Malipo ya Dalali ni Tsh 400,000/=
______
0753-172-516