Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Kitunda, Dar Es Salaam







NYUMBA 2 (Apartiment 2) katika jengo moja zinauzwa KITUNDA KIVULE
Bei milion 69 INAPUNGUA KIAS
Ya kwanza ina vyumba v3 kimoja masta
dining siting jiko
Na pablic toilet
Ya pili ina vyumba viwili kimoja masta
Sebule jiko
INA KISIMA CHA MAJI
TAILZ JIPSAM MAJI UMEME,
UNATEMBEA DAKIKA 3 HAD STEND
GARI MOJA HAD MJIN
Eneo sqm 460 (makadilio)
Whatsap au piga
0788156493
0614130017
0760053111