Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Madale, Dar Es Salaam
Eneo zuri sana linauzwa:
Wale wawekezaji wa apartment lodge magodaun nk.hapa ndio mahala pake
Lipo ndani ya fensi na
ndani Kuna nyumba ya kisasa ya vyumba viwili kimoja masta
Dinning sitting jiko stoo public toilet na maji dawasco
Eneo- sqm 3350
Umiliki- Hati miliki
Bei-ml 350 maongez
Location- madale
Umbali-mita 200 kutoka main road
Karibun