Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Majohe, Dar Es Salaam


NYUMBA YENYE VYUMBA 2, SEBULE NA CHOO- NDANI, TSHS.13 MIL. MAJOHE.
Kwa Daladala Nauli ni Tshs.500 na kwa Bajaj ni Tshs.1500 tu kutokea GONGOLAMBOTO-MWISHO.
Kituo ni MATOFALINI, MAJOHE.
Nyumba Ina jumla ya Vyumba vya kulala viwili (2)
Pia ina Sebule,Jiko na Choo kimoja tu cha ndani.
Kama huna mkuu hapa unajihifadhi na kuondokana na kadhia ya 'MwenNYUMBA YENYE VYUMBA 2, SEBULE NA CHOO- NDANI, TSHS.13 MIL. MAJOHE.
Kwa Daladala Nauli ni Tshs.500 na kwa Bajaj ni Tshs.1500 tu kitoka GONGOLAMBOTO-MWISHO.
Kituo ni MATOFAINI, MAJOHE.
Kama huna mkuu hapa unajihifadhi na kuondokana na kadhia ya 'MWENYUMBA KICHOMI'.
Umeme haujaingia lakini Huduma ipo jirani.
Mazingira mazuri na jirani na Barabara.
NAKUSHAURI WAHI MAPEMA KUOA UFANYE MAAMUZI KABLA HUJACHELEWA, HAZIKAI HIZI.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255714591548
_____________mtld