Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam
🗯️MBEZI MWISHO njia Ya MAKABE
📍 500,000/= *6
_________
___
• Vyumba 2 vya kulala Vikubwa (kimojawapo Master kubwa)
• Sebule Kubwa
• Jiko zuri litafungwa Makabati
• Store
• Public toilet ndani
* Inajitegemea UMEME na Maji
* Parking
* Ndani ya Fensi Zipo 4 tu na moja ndio Imebakia
#Upande wa Km 1 kutoka Morogoro Road, usafir upo wa bodaboda au daladala
______
📌 *MUHIMU SANA*
#Kupelekwa kuona nyumba Tsh 15,000
#Malipo ya Dalali ni Tsh 500,000/=
______
0753-172-516