Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Pemba, Mara
SHAMBA LIPO PEMBA SAMAKI BUYUNI
BEI 350Mil
Heka 25.6 sawa na square meter 103,462
Kuna kisima na vyumba viwili PAGALA Kisima hicho kina urefu wa mita 40
Baada ya kiwanda cha nyati cement
Umeme uko umbali wa mita 15. Kutoka shamba hadi baharini ni kilomita 2 na kutoka shamba hadi barabara kuu ni kilomita 1 tu. Kutoka kivuko cha Kigamboni hadi shambani ni km 45. Ni mwendo wa saa 1 :50m ENEO NITAMBALALE LINAFAA KWA UFUGAJI VIWANDA ENEO LINAKUBALI KILIMO CHA MATIKITI,MPUNGA,BAMIA,NYANYA NK