Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Ukonga, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa Ukonga (bomba mbili STEND)
๐๐BEI MILION 29๐๐
Vyumba VIWILI (vyote ni masta)
Sebule, jiko jipsam tailiz
Umeme maji
๐๐FREMU ZIPO 5 ZA BIASHARA๐๐
Nyaraka ya serikal ya mtaa
Eneo sqm 400 (makadilio)
NYUMBA YOTE INA FENS
Whatsap au piga 0746 433 854