Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


13/6/2025
Nyumba inapangishwa apartment
Kodi 300,000 kwa mwezi
Location bunju b
Vyumba 2 kimoja master sitting room dinning room kitchen cabinet public toilets Inajitegemea maji na umeme Ipo ndani ya fence
Piga simu O745010009 au 0742707023