Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


#VYUMBA_VIWILI  _VYA_KULALA#
INAPANGISHWA #APARTMENT
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-  BUNJU B USHUANI
———————————————————
NOTE :MALIPO KUANZIA MIEZI 6
NYUMBA  MPYAA KIBISA 💯
KODI  TSHS LAKI  400,000/=KWA MWEZI
______________
MALIPO YA MIEZI (4)
————-
APART YA KISASA
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA 
______
YENYE:-
Vyumba viwili vya kulala,  # Master #Sebule kubwa #  Jiko, #Choo/#Bafu vya ndani public Ac
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows 
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks 
FencedApart 
Garden 
Kuona. 20K
____________
Nione 
dalalimbezibeach_goba_salasala 
#0715127812 / WhatsApp 
______
Pia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA
🙏



















