Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


📍APARTMENT NZURI SANA 🏡🏘️ INAPANGISHWA: IPO BUNJU A (DAR ES SALAAM)
INA VYUMBA VIWILI SEBLE JIKO NA PUBLIC TOILET PIA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI MITA YAKE
KODI: TSH 250K KWA MWEZI
TUWASILIANE
Call/ piga simu O745010009 au 0742707023