Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA π‘ποΈ INAPANGISHWA
MAHALI: BUNJU BEACH ποΈ MOGA
INA VYUMBA VIWILI VYOTE MASTER SEBLE JIKO NA PUBLIC TOILET PIA INA FULL A/C
KODI: TSH 550K KWA MWEZI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI MITA YAKE ZIPO APARTMENTS TATU NDANI YA COMPOUND
SERVICE CHARGE 20K
CONTACT WHATSAPP
Piga simu O745010009
SEVICE CHAGE ELFU 20