Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Chanika, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA
ZIPO APARTMENT MBILI TU KWENYE FENSI MOJA.
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA (KIMOJA MASTER), SEBULE NA JIKO LENYE MAKABATI.
MAJI MITA INAJITEGEMEA, NA UMEME MITA INAJITEGEMEA.
LOCATION: CHANIKA, KITUO NGUVUKAZI
KODI: 200000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.