Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA NJIA NNE - NASH PARK
💧Bei :: 600,000Tsh kwa Mwezi 
 
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba viwili Kimoja Masta 
📍Sebule kubwa 
📍Choo cha Public 
📍Jiko lenye makabati
📍Fence 
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0783558470
Call /Whatsapp




















