Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA NJIA NNE - NJIA YA MADALE
💧Bei :: 650,000Tsh kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Vyote Master)
📍Sebule kubwa
📍Ac Sebuleni na Kwenye Master
📍Makabati chumbani
📍Choo cha Public
📍Jiko lenye makabati
📍Fence
NB: ULINZI, MAJI NA USAFI VIMEJUMUISHWA KWENYE KODI
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0745559598
Call /Whatsapp less