Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA 🏡🏘 YA VYUMBA VIWILI CHUMBA KIMOJA MASTER SEBLE DINING JIKO NA PUBLIC TOILETS
LOCATION: GOBA MAGETI
KODI: TSH 700K KWA MWEZI
INAJITEGEMEA UMEME na MAJI MITA YAKE
SERVICE CHARGE 20K
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA YA dalali_boris_boko_bunju
KWA MAWASILIANO ZAIDI
Call/ What’s up
+255673772289
Email:dalaliboris@gmail.com