Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA INAPANGISHWA;
🌍 GOBA MAGETI
📍Tsh 650,000 kwa Mwezi
■ Vyumba Viwili (Vyote Masta )
■Sebule
■Jiko kubwa lenye makabati
■ Makabati Vyumba vyote
■Public Toilet
■Electric Fence
■ Motor gate
■ CCTV Camera
Gharama ya Kuona nyumba zetu ni Tsh 20,000/=
☎️Call/Whatsapp
0783558470