Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM
MAHALI _ GOBA MAGOLOFANI
______________________
#VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTA _SEBULE_ JIKO_CHOO#
KODI TSHS 350,000/= KWA MWEZI
——
MALIPO YA MIEZI 6
________________
NEW APART APARTMENT
_____________
YAkifamili
_______
YENYE:-
Vyumba viwili kimoja masta # Kikubwa Na Sebule Public toilet
#na # Jiko
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks
FencedApart
Kuona nyumba 20,000
Tupigie kwasim namba 0747 078 951
Kalibun ———