Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA;
💧Location :: GOBA NJIA NNE - NJIA YA MADALE (BARABARANI)
💧Bei :: 400,000Tsh Miezi 4
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba Viwili (Kimoja Masta)
📍Sebule
📍Choo cha Public
📍Jiko zuri kubwa
📍Fenced & Parking Space Available
Service Charge 20,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp