Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA;
Location :: GOBA NJIA NNE, BODABODA TSH 1000
Bei Yake :: TSH 500,000 KWA MWEZI
Maelezo;
📍Vyumba Viwili Vikubwa
📍Kimoja Master Bedroom
📍Sebule Kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko Kubwa la Kisasa
📍Fenced
Service Charge 20,000/=
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp