Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Ipagala, Dodoma


Apartments zinauzwa 
Mahali:- Dodoma mjini-ipagala
Ziko apartments tatu zenye vyumba  viwili vya kulala kila moja vyote master, sebule, jiko 
Apartments zote zinawapangaji tayari 
Kodi wanalipa 500,000/= kwa mwezi, na zote zimejaa
Apartments zina mazingira mazuri sana unaweza kuzibadili kuwa air bnb
Ukubwa wa kiwanja square metre 900
BEI (ask)
Mawasiliano
0628891445
0755690265




















