Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA
Location: KIBAMBA KWA MANGI #250K
Sebule Kubwa Sana
Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
Chumba Kimoja Master vya kulala
Jiko Kubwa Zuri
Public Toilet Nzuri
KODI 250,000 Γ 6
Ndani Ya Fence
Parking IPO zipo 2 Tu
Kila Mtu Anajitegemea Umeme Na Maji
Umbali KM 1 Kwa mguu dakika 15 boda boda boda 1000
Service Charge 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp