Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA KIBAMBA KWA MANGI #300k
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa Dinning jiko na public toilet
====
Bei:300,000 Kwa mwezi × 6 ( miez inazungumzika)
====
Umbali Dakika 10 Kwa mguu
===
Apartments zipo 4 kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
====
Ndani ya fence parking nikubwa
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
0679447338
0753454167