Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #150k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet nje
Kodi 150,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 2 Usafiri Bajaji barabara nilami
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
Haina fence ila parking IPO usalama upooooo
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI