Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam
APARTMENT ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE 300,000 KWA MWEZI KODI MIEZI 6
#################
Nyumba Ina vyumba viwili vya kulala chumba kimojawapo ni master sebule kubwa na jiko kubwa na choo cha public cha nje
#############
Nyumba ipo Kibamba shule km 1.2 kutoka kituoni
#################
Usafiri bajaji zipo
#################
inajitegemea umeme na maji dawasco
#################
Full tiles,gypsum,shata window
#################
300,000/=ya mwezi mmoja wa Dalali baada ya kulipia nyumba
#################
Service charger 15,000/= ya kuonyeshwa na kutafutiwa nyumba mpaka upate bila kuchajiwa Tena
Dalali
0679-447338
0753-454167