Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI #250k
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms sebule jiko na public toilet
Kodi 250,000 Kwa mwezi × 6
Umbali Dakika 10 Kwa mguu, Lami Hadi mlangoni
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon, ndani ya fence parking IPO
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15