Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA GOGONI #250K
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 250,000 kwa mwezi × 4
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikoni
Umbali dakika 8 kwa mguu
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679997610
Msigwa