Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location kisiwani
<> nyumba ina vyumba viwili vya kulala kimoja Master sebule na jiko
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba ni apartment 3
✅nyumba Ina mazingira safi
✅nyumba nzuri na safi
<> asking price 600k per month
mwezi moja wa dalali_edgar
<> malipo miezi mitatu tu (3)
<> services charge 20k
🔳mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837