Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam


Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIJITONYAMA
Price: 500,000 × 6
☑️Sebule Kubwa
☑️Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
☑️Chumba Kimoja Master
☑️Jiko Kubwa Zuri
☑️Public Toilet Nzuri 🚻
☑️Full A/c
☑️Fenced
☑️Parking IPO KUBWA 🚗
☑️Inajitegemea UMEME Na MAJI
☑️MAJI Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
☑️Reserve TANK
☑️Good Environment 👍
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp