Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam
Apartment for rent
Loc: kijitonyama
Price:300,000 per month
Term:six month
Note:(zingatia)
30,000 pesa ya ofisi inalipwa mara moja bila kusahau pesa ya dalali mwezi mmoja
Classification:
Vyumba 2 vya kulala kimoja master sebule jiko tiles safi mazingira mazuri
Fanya kazi na Dalali wenye ofisi uepuke kutapeliwa fika ofisini sinza madukani tukudumie
Call:0688037829👈
Call:0718123756👈