Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kijitonyama, Dar Es Salaam
Apartment Kali Inapangishwa
Mahali: Kijitonyama
Bei: 500,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
Inatizama Lami. Zipo 4 Kwenye Compound
☑️Kubwa Ya Kifamilia
☑️Vyumba Viwili, Kimoja Ni Master
☑️Sebule, Jiko & Choo
☑️Fensi & Parking
☑️Inajitegemea Umeme
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)
#0786801000whatsapp