Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


03_
APARTMENT INAPANGISHWA
SIFA ZAKE:
✓ 2 BEDROOMS, 1 MASTER
✓ SITTING ROOM
✓ JIKO
✓ PUBLIC TOILET
✓ PRIVATE LUKU
✓ MAJI YANAFLOW NDANI
✓ FENCE
✓ PARKING SPACE KUBWA
KODI:
400,000/=TSH KWA MWEZI, MALIPO KWA MIEZI 3 MPAKA 6
LOCATION:
KIMARA TEMBONI, DAR ES SALAAM, DAKIKA 15 KWA MIGUU FROM MOROGORO ROAD
SERVICE CHARGES:
15,000=TSH KUONESHWA NYUMBA AU KODI YA MWEZI MMOJA IKIFANYIKA BIASHARA
NOTE:
ITAKUWA WAZI KWANZIA 04- 08- 2024, KUONA NA KULIPIA USUBIRIE RUKSA
+255 694 075 761
.
.