Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA TEMBONI
KM 1 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BAJAJ UPO 24 HRS
BEI NI 250,000/=X6
HII INA SIFA ZIFUATAZO
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
HAINA FENSI PARKING KUBWA
NOTE
ITAKUWA WAZI TAREHE 30/05
KUONA NA KULIPIA NI RUKSA
Contact 📲
0713661530_0783661530