Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(450,000X6)KIMARA MWISHO 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI ZIPO..BODA ELF MOJA
➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT FOR RENT ##450###IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWENDOKAS TERMINAL.
APARTMENT HII BADO INA MPANGAJI NDANI RUKSA KUONA NA KULIPIA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO ITAKUA WAZI TAREHE 20/3/2025 , INAYOPANGISHWA NI APARTMENT YA CHINI.
.............
Ina vyumba 2VIWILI vya kulala vyote master bedrooms
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet za nje
Rezev Simtank
Tails ###gypsum
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji yanaflow chooni jikoni ( Dawasa )
Full paving block ,Good Environment , ulinzi na usafi kuzunguka Mazingira ( Mwenye nyumba ) ,Ndani ya fence ,Parking space kubwa.
--------
Kodi ni laki 450,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
CONTACT US:-
0716223412
0683597453