Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA ๐๐ฃ๐ข ๐๐๐ ๐๐ฅ๐ ๐ง๐๐ ๐๐ข๐ก๐ NA IPO MTAA MZURI SANA
BEI NI 600,000/= ร 6
YA JUU GHOROFANI NDIO INAPANGISHWA
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION (A/C)
#HEATER
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 600,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300