Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA STOP OVER
Distance: KM 1.5 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 1000, Boda 1000
PRICE: 320,000 × 6
✍️Sebule Kubwa Sana
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Public Toilet Inside 🚻
✍️Inajitegemea UMEME
✍️Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✍️Reserve TANK
✍️Fenced &Parking Yakutosha 🚘
✍️Good Environment 💥
Itakuwa Wazi 27/11/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp



















