Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🚨🔥#APARTMENT NZURI #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara korogwe
🕑kutoka standi ya mwendo kasi km1 usafili bajaji 500 ukishuka dakika 4 Tu bodaboda 1000
#SIFAZAKE
🌲Vyumba Viwili, kimoja Master
🌲Sebule
🌲Jiko la nje
🌲Public Toilet Nje
🌲Umeme submiter Yake
🌲Maji meter yake na yanaflow ndani
🌲Fensi & Parking Kubwa
👉
🔷Kodi Tsh 250, 000/= miezi 6
🔷Malipo ya Dalali Tsh 250, 000/=
🔷Service Charge. Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
0712528820
0685221354
Mr.