Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA STOP OVER #300k
===
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Bei:300,000 Kwa mwezi × 6
===
Kila apartment inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Umbali KM 1.2 Usafiri bodaboda 1000, kama huna haraka unatembea
===
Ndani ya fence parking IPO
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
#0785889413
#0785889413𝑊𝒉𝑎𝑡𝑠_𝐴𝑝𝑝📲📲