Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA MPANGAJI AMEPATA UHAMISHO KIKAZI RUKSA KUONA NA KULIPIA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO ITAKUA WAZI TAREHE  01/4/2025.
IPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE KWA DARWESH UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD KOROGWE MWENDOKAS TERMINAL. 
--------
SIFA ZAKE =
Vyumba  2 vya kulala kimoja master 
Sebule kubwa 
Public toilet 
Jiko zuri 
Tails
Gypsum 
Public toilet ya nje
Rezev Simtank 
Madirisha Aluminium 
Umeme Luku inajitegemea 
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni 
Full paving block 
Electrical Security 
Ndani ya fensi parking space ipo. 
------
Kodi ni laki 450,000 /=
Kwa mwezi. 
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba. 
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
--------
NB =
MPANGAJI ANAETAKIWA HAPA NI MKIRISTO , NYUMBA ITAKUA WAZI TAREHE  01/4/2025 , RUKSA KUONA NA KULIPIA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO.
SIMU
0715949085
0782838336




















