Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 500,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 31/10/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI
#AIR-CONDITION
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#GARDEN NZURI
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
Kodi 500,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI SHILINGI LAKI 3
๐ซ๐ซAPARTMENT HII IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU USAFIRI BAJAJI AU BODABODA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.



















