Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







200,000 x6. 0679 956 863
APARTMENT NZULI YA BEI KITONGA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO KM1
SIFA ZAKE
INAVYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO SAFI
PABLICK YA NDANI
UMEME UJITEGEMEA NA MAJI
BEI NI 200X6 ILIPWE LAKI MBILI KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROOD KM 1
USAFILI UPO
BODA 1000โ
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA NYUMBA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
0679 956 863
0759151524
0781 418 437