Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


šØš„#APARTMENT #INAPANGISHWA
āāāāā
šKimara Korogwe
škutoka standi ya mwendo kasi km1 usafili boda 1000 kwa mguu dk 15 mpaka Kwenye nyumba
#SIFAZAKE
š²Vyumba Viwili, kimoja Master
š²Sebule
š²Jiko
š²Public Toilet
š²Umeme Luku Yake
š²Maji meter yake na yanaflow ndani
š²Fensi & Parking Kubwa
š inapangishwa ipo wazi
š·Kodi Tsh 350, 000Ć miezi 4/= au 300,000 Ć miezi 6
š·Malipo ya Dalali Tsh 350, 000/=
š·Service Charge. Tsh 15, 000/=
______________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================