Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA KONA
DK 4 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 300,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
CHOO SAFI CHA FAMILIA NJE
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
HAINA FENSI USALAMA BOMBA
0716223412