Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA JUU IPO WAZI WAHI MTEJA  #BEI 450X6  AU  400X12
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA 
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET 
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS ZINAWEKWA FENSI PARKING KUBWA SANA 
#MAFENI KOTE
#ICE CHUMBANI
#HITER MAJI MOTO
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA 
Kodi 450,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
 AU  400,000/= KWA MWEZI MALIPO MIEZI 12
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.




















