Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6 
๐ฅ ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 28/02/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO 
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 2 VYA KULALA 
#HAKUNA MASTER BEDROOM 
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA 
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
BEI NI 200,000/= X 6 
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK  8  TUU KWA MIGUU 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA 
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 28/02/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
Kwa maelezo zaidi piga 
0713661530_0783661530




















