Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa Kimara stop over
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 250,000 Kwa mwezi × 6
Umbali Dakika 12 Kwa mguu
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15