Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







ISHI KWA MALENGO KODI NI 200X6
.
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
.
UMBALI WA DK 5 MPKA 7 TU KWA MIGUU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
.
SIFA
===
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE JIKO NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
.
INA TILLES GYUPUSAM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO DRISHA SHATA MAZURI MAKUBWA LUKU SABMITA NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW CHOONI
.
KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
FUNDI NDO ANAMALIZIA KUPIGA RANGI
.
SERVICHAJ ELFU 10 TU WAI MAPEMA
.
CONTACT 0656623510
WSP 0752436347