Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Mpyaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA SUKA
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 8 kutoka Main Road Barabara ni Nzuri Mpaka Getini
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master
• Jiko Kubwa lenye Makabati
• Public Toilet nzuri ndani
• Heater ya MAJI
• Reserve Tank (DAWASA)
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU na Mita ya MAJI Dawasa
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 500,000 Malipo Miezi 6
#Note: Apartment ni Mpya na Zitakuwa Tayari Kuingia Mwishoni wa Mwezi wa Saba... Kulipa RUKSA na Imebaki Moja
#NO_
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI