Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI KM 2 TOKA KIMARA MWISHO INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA NA VYUMBA AMNA MASTER BEDROOM
#SEBULE YA KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET 2.
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 250,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO NJIA YA BONYOKWA NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2USAFIRI NI BAJAJI SH 700 AU BODABODA SHILINGI ELFU 1500
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI